CIARA AKIWA KATIKA MUONEKANO WA TOFAUTI
Ciara Aka Cici mchumba wa Rapper Future amefanya photo shoot ya Jarida la W kuhusu muonekano wake wakati wa ujauzito. W magazine wamepata exclusive Interview na Cici ambaye anategmea kujifungua mtoto wa kiume siku yoyote sasa.
Huyu atakuwa mtoto wa kwanza wa Cici mwenye miaka 28. Ciara anasema ” Nikishajifungua salama nitarudi studio ili kumalizia album yangu mpya na kuanza kuoanga harusi yangu na Future”