Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu akiwaonesha mashabiki tuzo aliyokabidhiwa mara baada ya kutajwa kuwa mshindi wa mwaamke mweye mvuto ambapo aliwagaragaza wasanii wenzake akiwemo Lulu, Jaqrie Wolpa, Joketi. Shindano hilo liliandaliwa na kampui ya Global Publish wachapishaji wa magazeti pendwa
Wema Sepetu akifurahia tuzo hiyo
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Temba kutoka kundi la Wanaume akitumbuiza katika jukwa hilo
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini miondoko ya Hip Hop Joh Makini akitumbuiza mashabiki waliohudhuria shindano hilo Ukumbi wa Dar live Dar es Salaam