Google PlusRSS FeedEmail

FILAMU YA SIX TIMES TWO IKO TAYARI KUINGIA SOKONI

             Six times two
Filamu ya Six times two imekamilika na inatarajia kutoka Tarehe 22. May. 2014, sinema hiyo ambayo imetengenezwa na mtayarishaji na mwigizaji wa filamu Zamo Chambo na kuwashirikisha wasanii nyota kama vile Jack Wolper,

“Ni kazi ambayo nimeifanya kwa ustadi mkubwa kabisa, ninatarajia kuwa wapenzi wa filamu Bongo watafurahia kuiona kazi inayoelimisha na kufundisha kwa jamii yetu,”

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging