Google PlusRSS FeedEmail

LEO NDIO KILELE CHA TUNZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARD

            

Leo may 3 zile tunzo za Kilimanjaro Music Awards zitafikia tamati leo jioni katika ukumbi wa Mlimani Ciy Jijini Dar es salaam,wasanii waliofanya vyema katika kipindi cha mwaka jana 2013,ambao waliingia katika kinyang'anyiro hicho ,Baadhi watapata Tunzo katika sherehe hizo je ni nani atavija Record ya kuchukua Tunzo nyingi..Endelea kufatilia hapa hapa Pro24

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging