Rapper mkongwe ambaye aliacha kwa muda muziki na kuwa mchungaji wa
kanisa, Ma$e amerudi rasmi kwenye game na kuachia wimbo mpya ‘Nothing’
aliomshirikisha Eric Bellinger.
Huu ni ujio mpya wa rapper huyo tangu aachie albam mwaka 2004
aliyoipa jina la Welcome Back, na hivi sasa anaandaa albam mpya ‘Now We
Even’.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.