Google PlusRSS FeedEmail

NYWELE ZA MTOTO WA BEYONCE ZAZUA UTATA

Wanaharakati wamegawanyika katika makundi lakini yote yanalenga katika kupinga, kuhamasisha na mwisho wa yote kuleta mabadiliko.

Mwanamke mmoja ambaye tunaweza kumuita mwanaharakati asiye rasmi, Jasmine Tolver wa Brooklyn, New York Marekani ameanzisha harakati/kampeni yenye lengo la kumshinikiza Beyonce kuzichana nywele za mwanae Blue Ivy kwa madai kuwa kuziacha katika hali zinazoonekana ni sehemu ya unyanyasaji au ukosefu wa matunzo bora ya mtoto.

Mwanamke huyo ameanzisha petition kwenye mitandao ambayo inahitajika kukusanya saini nyingi iwezekenavyo ili sauti imfikie Beyonce kwa nguvu.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging