Google PlusRSS FeedEmail

SEMINA KWA WAANDISHI WA SCRIPT YAJA

                Ali yakuti
Chama cha waandishi wa script kimeandaa semina kwa wadau wa filamu wote wanachama na wale ambao si wanachama, lengo ikiwa ni kujielimisha zaidi, hivyo tunatoa mwito washiriki wajitokeze kwa wingi,”anasema Kingalu mwenyekiti wa muda wa chama hicho.
Kwa wale wanaopenda kushiriki katika mafunzo hayo yanayoanza tarehe 19,20 na 21 mwezi huu, yanafanyika kwa mpango wa TAFF kuwawezesha wasanii kupata elimu kwa njia rahisi, kwa wale wanaotaka kushiriki wapige simu namba : 0713 626 252, 0783 359 999.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging