Google PlusRSS FeedEmail

KIM KARDASHIAN KUBEBA MIMBA NYINGINE HIVI KARIBUNI
BAADA ya kufunga ndoa rasmi mwanamuziki kutoka Marekani Kanye West, na mwanadada Kim Kardashian mapya yaibuka ambayo yamewekwa wazi na mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mtabiri wa mwanadada Kim.

Ambapo mtabiri huyo ambaye jina lake halikufahamika amemtabiria Kim kupata mtoto mwingine mwaka huu ambapo hivi sasa mwanamke huyo anamtoto wa mwaka mmoja.

Kim Kardashian amesema kuhusu utabiri wa mtaalam wake katika kipande kinachotangaza ujio wa episode mpya ya Keeping Up With The Kardashians alipoulizwa na dada yake Khole Kardashian alichoambiwa wake wa masuala ya saikolojia.

“ Amesema nitakuwa mjamzito hivi punde.” Alijibu Kim Kardashian katika kipande kinachowaonesha yeye, Khole Kardashin na Rob Khardashian

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging