Google PlusRSS FeedEmail

NICKY MINAJ & HAPATOSHI

                                      
Wasanii wawili  Nicki Minaj pamoja na Rihanna wako katika  ugomvi ambao chanzo cha ugomvi huo.
kutokana na Single ya ‘Pills N Potions‘ amesema amechukizwa na kitendo cha msanii mwenzake Rihanna kuharibu urafiki wake kati ya yeye na na msanii Drake

Baada ya Drake kuachana na Rihanna  kabisa,inasemekana Nick minaji anaweza kumwita Rihanna na wazungumze juu ya swala hili alilomfanyia rafiki yake Drake,Siku moja kwenye vyombo vya habari vya marekani Nick alikaririwa akisema ‘One day, I will run away with Drake and get married, but right now it’s just a fantasy.’

Drake pamoja na Rihhana waliachana mwezi mmoja uliopita baada ya kutokea ugomvi baina yao na kufanya kusambaratika kwa uhusiano wao

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging