Google PlusRSS FeedEmail

TONTO DIKEH ANA MVUTO WA KIPEKEE

                            
Tonto Dikeh chimbuko lake ni huko Ikwere,Port Harcourt,Rivers state Nigeria,naye alizaliwa June 9 mnamo mwaka 1985 na baada ya kumaliza elimu yake ya msingi na sekondari alijuinga na chuo kikuu cha Sayansi na Teknilojia,huko Port Harcourt.

Na aliianza kuigiza filamu tangu tangu mwaka 2005 baada ya kuvutiwa na uigizaji wa Genevieve na Omotola,naye mpaka sasa ni kati ya star na wenye mvuto huko Nollywood

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging