Google PlusRSS FeedEmail

WACHEZA FILAMU ITABIDI MUMUENZI KANUMBA

               Filamu ya ndoa yangu           Filamu ya ndoa yangu
SIKU zote za uhai wako ni vema ukaweka jambo ambalo linaweza kukufanya watu wakukumbuke kwa kile ulichofanya katika juhudi zako ukiwa ulimwenguni kuna wakati tunaambiwa tufanye kazi kwa nguvu ili kuweka akiba ya baadae, hilo linaleta maana kwa tuzo aliyoshinda Hayati Steven C Kanumba kupitia filamu ya Ndoa Yangu.

Ni takribani miaka miwili toka kifo cha gwiji hili la filamu atutoke na kuwaachia simazi wapenzi wa kazi zake kimataifa na ndani ya nchi, lakini hadi leo kazi zake zimeendelea kufanya vizuri na kuwa kama kazi mpya wakati zina muda mrefu toka ziingie sokoni.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging