ANGALIA KIONJO CHA VIDEO MPYA YA LINEX Posted on by Zourha Malisa Linex ameachia kionjo cha video ya wimbo wake mpya iliyoongozwa na Adam Juma wa kampuni ya Visual Lab; Next Level.