Google PlusRSS FeedEmail

KIVAZI CHA KIM CHA WACHANGANYA POLISINiliwahi kusikia jamaa mmoja akisema kuna baadhi ya wanawake hupendeza zaidi wanapojifungua. Kim Kardashian anaweza kuwa sehemu ya ushahidi wa alichokisema huyu jamaa.

Mama North West amewatoa polisi wa New York katika umakini wa kulinda na kuanza kumtupia jicho kwa wizi wizi huku kamera za paparazzi zikilinasa tukio hilo. Kivazi chake na mwendo wa pozi vilichangia hasa kuwahamisha polisi hao katika ‘lindo’ kisaikolojia. Macho hayana pazia.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging