Google PlusRSS FeedEmail

MIRIAM LUKINDO AWEKEZA KWENYE VIDEO YA WIMBO "AMEN HALLELUYA"

Mwanamuziki wa Injili Binti Africa, Miriam Lukindo wa Mauki yuko katika kutengeneza Video yake yenye hadhi ya Kimataifa ya wimbo wa Ameen, Halleluyah.


Miriam ameamua kuwekeza katika video hiyo....iliyo mgharimu milioni  moja na laki tano kuanzia shooting,location,video director pamoja na mavazi.

Hii ni hatua kubwa kwa muziki wetu wa Gospel tofauti na miaka 10 iliyopita ambapo muziki ulichukuliwa kama sehemu ya kusifu na kuabudu pasipo kufikiria miaka kumi ijayo na jinsi gani tunaweza kuyafikia mataifa mengine kupitia muziki wetu wa Gospel....Hii itakua video ya pili yenye gharama kubwa ukiacha ya Angel Benard "I need to rain"aliyotumia milioni 5 nchini Kenya.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging