Mwanamuziki mahiri wa muziki wa Taarab nchini Mzee Yusuf ‘Mfalme’ baada ya kufanya vema na kuteka katika muziki wa Taarab Bongo ameingia rasmi katika uigizaji na kwa kuanza anatarajia kuingiza filamu yake ya kwanza Nitadumu Nae chini ya utunzi wake mwenyewe.