Google PlusRSS FeedEmail

NICKI MINAJ AWEKA PICHA AKIWA KWENYE POZI MATATANicki Minaj anaendelea kuvuta umakini wa watu kuisubiria kwa hamu video ya wimbo wake ‘Anaconda’ ikiwa ni siku kadhaa baada ya kutoa kipande cha video kinachoonesha utengenezaji wake.

Jana (August 18), Nicki ameshare picha nyingine kuhusu video hiyo inayomuonesha yeye akiwa amekaa katika mtindo wa mitego tata mbele ya Drake aliyekaa kwenye kiti kama anaesubiri huduma.

Picha za wimbo na video ya Anaconda ya mwimbaji huyo ni kati ya picha zilizozua utata mkubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi kufikia hatua ya kutaka kuondolewa kwenye Instagram.

 Anaconda ni wimbo mpya unaotoka kwenye albam ya ‘The Pink Print’ na rapper huyo wa Young Money anatarajiwa kuuimba Live wakati wa utoaji wa MTV Video Music Awards, Jumapili, August 24.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging