Google PlusRSS FeedEmail

PICHA UZINDUZI WA FILAMU YA MBWA MWITU

Msanii wa filamu nchini Kajala Masanja jana azindua filamu yake mpya aliyoipa jina la Mbwa Mwitu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ambapo uzinduzi huo ulihudhuriwa na mastaa mbalimbali nchini.

Wasanii walioshiriki katika kuigiza kwenye filamu hiyo ni Hemed Suleiman aka PHD,Grace Mapunda,Kajala pamoja na msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging