Google PlusRSS FeedEmail

SAGUDA AKABIDHI MALI ZOTE ZA MAREHEMU RECHO UKWENI..

                                               

ALIYEKUWA mchumba wa marehemu Rachel Haule ‘Recho’, George Saguda amesema ameamua kupeleka mali zote za marehemu kwa ndugu zake ili wao wajue utaratibu wa kuzitumia.

George Saguda akiwa na aliekuwa mchumba wake marehemu Rachel Haule ‘Recho’ Akizungumza Saguda alisema kwa sasa hahusiki na suala la mirathi ya Recho japo alikuwa akiishi na marehemu kama mke wake na kudai kuwa mali zote zilizokuwa zinamhusu Recho, tayari amezikabidhi kwa ndugu zake.

“Marehemu Recho nilikuwa nikiishi naye kama mke wangu lakini mali zake zote nimeshazikabidhi kwa ndugu zake kwa sababu wao ndiyo wanaohusika na suala zima la mirathi endapo kutakuwa na ulazima wa kunishirikisha basi wataniambia,” alisema Saguda.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging