Google PlusRSS FeedEmail

SOFIA VERGARA AMEINGIA KATIKA ORODHA YA WAIGIZAJI WANAOLIPWA FEDHA NYINGISofia Vergara ameongoza orodha ya majina kumi ya waigizaji wa vipindi vya runinga waliolipwa pesa nyingi mwaka 2014.

Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 42 ameingiza kiasi cha $37 million (sawa na 61,549,500,000 za Tanzania), ikiwa ni ongozeko la $ 7 Million alizoingiza mwaka jana. Hii inamfanya kukaa kwenye kilele cha orodha hiyo kwa mwaka wa tatu huku pesa nyingi zaidi ikiingia kupitia endorsements.

Sofia Vergara ni muigizaji wa Colombia, mchekeshaji, mtangazaji wa vipindi vya TV na mwanamitindo pia. Alipata umaarufu zaidi awali miaka ya 1990 alipokuwa mtangazaji wa vipindi viwili vya television vinavyotumia lugha ya kihispania.

Hii ni orodha kamili:

2.Mariska Hargitay(Law & Order)- $13 million.

3. Kaley Cuoco-Sweeting – (The Big Bang Theory)-$11 million.

4. Julianna Margulies, Ellen Pompeo and Cobie Smulders – $10 million.

5. Alyson Hannigan , $9.5 million

6: Amy Poehler (Parks & Recreation)-$7 million

7: Mindy Kaling (The Mindy Project)-$6.5 million

8 (TIE): Kerry Washington ,Zooey Deschanel,Courteney Cox-$6 million

9.Claire Danes ( My So-Called Life)-$5 million

10: Lena Dunham-(Girls)-$3.5 million

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging