Google PlusRSS FeedEmail

CHRISTIAN BELLA ANUNUA NYUMBA YA KIFAHARI NCHINI KONGO

MUIMBAJI wa bendi nchini anayetamba na kibao cha 'Nani kama Mama' amejisikia fahari baada ya kupata mafanikio ya kununua nyumba ya kifahari nchini Kongo.

Ambapo inadaiwa kuwa nyumba hiyo inathamani ya dola 40,000 ambapo inadaiwa ni matunda ya nyimbo inayotamba zaidi katika soko la muziki nchini nani kama mama.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging