Google PlusRSS FeedEmail

JENNIFER MGENDI KUSAMBAZA FILAMU YAKE YA MAMA MKWE MWENYEWE

                      Jennifer Mgendi
Jennifer Mgendi mwigizaji wa filamu na mwimbaji wa muziki wa Injili Bongo amefunguka kwa kusema kuwa filamu zake na muziki wake atasambaza mwenyewe kukwepa kunyoywa mwanamuziki huyo ambaye ni maarufu katika muziki na filamu anasambaza filamu yake ya Mama Mkwe.
             Jennifer Mgendi
maharamia wa kazi za wasanii ninaisambaza mwenyewe na nimejipanga kwani nimefungua Duka Kariakoo sehemu ambayo ndio maalum kwa uuzaji wa kazi za muziki na filamu,”anasema Jennifer.

Msanii huyo anasema kuwa sinema yake ya Mama Mkwe ni kazi nzuri yenye ujumbe kwa jamii na imewashirikisha wasanii kama Husna Chobis, Bahati Bukuku, Christina Matai, Bibi Esta, Mussa Banzi, Senga pia Jennifer ametayarisha filamu za filamu za Joto la roho, Pigo la faraja, Teke la mama na Chaimoto.


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging