Google PlusRSS FeedEmail

AISHA BUI AGEUZIWA KIBAO KUPANDISHWA KIZIMBANI

KESI ya msanii wa filamu Bongo, Aisha Bui ya kufanya fujo ofisini kwa msambazaji wa filamu akidai kutolipwa fedha zake za filamu bado ni ya moto ambapo msambazaji anazungumza na mwanasheria wake kisha kumburuza mwigizaji huyo mahakamani.

Chanzo makini kimedai kuwa, baada ya Aisha kulala polisi na kutoka kwa dhamana msambazaji huyo, Ngeze Yuneda anatarajia kumburuza mahakamani akidai amembambikizia madai mengi ya uongo.

Alipoulizwa Aisha kuhusiana na habari hiyo, alisema:

“Hata sielewi kwa sababu walisema wanapeleka faili kwa mwanasheria ndipo tutakapoitwa ili ijulikane inakuwaje, nawasubiria.”

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging