Jide pia ameniambia kuwa "Tumeondoa kulia lia so mimi sio machozi tena, itabaki Komando na anakonda"
Lady jay Dee ameniambia kuwa November mwishoni atatoa wimbo alioupa jina "Forever" na kashirikishwa mdogo wake Dabo ambaye ni msanii we reggae hapa Tanzania. Wimbo umefanyika Combination Sounds kwa Man Water.