Google PlusRSS FeedEmail

MASAI WA KIGOMA APELEKA POSA KWA AKINA WEMA SEPETU

Msanii wa muziki wa kizazi kipya,ambaye anajulikana kama msaai wa kigoma,ameamua kujitosa katika penzi la wema Sepetu..
Msai wa kigoma amesema kuwa amefikia uamuzi huo mara baada Msanii Diamond kuachana na mrembo huyo

Alipoulizwa je ataweza kumtunza binti huyo msai wa kigoma alifunguka "nampenda sana Wema na nina ng'ombe wengi sana nitahakikisha Wema anakula nyama mpaka anazeeka...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging