Google PlusRSS FeedEmail

WEMA SEPETU AMPA LIKIZO DIAMOND

MISS Tanzania 2006/07 ambaye ni staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, amevunja ukimya kwa kuamua kuanika kisa cha yeye kummwaga aliyekuwa mwandani wake, nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Akizungumzia tatizo hilo, Wema alisema kuwa anashangazwa na watu kuhusisha kitendo chao cha kumwagana na msanii kutoka nchini Uganda anayejulikana kwa jina la Zari, jambo ambalo si kweli.

Alisema kuwa ameamua kumpa likizo isiyokuwa na muda maalumu ili kila mmoja awe huru kufanya mambo yake ya kimaishaThis entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging