Google PlusRSS FeedEmail

LEWIS HAMILTON "KUSEMA YA MOYONI KWA UMPENDAYE YATAKA MOYO"LAZIMA UJIPANGE

                                    
Mwanamuziki Lewis Hamilton ametoa siri kwamba wakati akitaka kumweleza yake ya moyoni mpenzi wake Nicole Scherzinger,alijikuta mwenye hofu kubwa.akihijiwa katika kipindi cha Zoomnews,alisema "wanaume wengi wanapokuwa wakitaka kuanzisha mapenzi wa wenza ambao wanawapenda kwa dhati huingiwa na hofu..Hofu yake hiyo alimfanya hata marafiki zake wa karibu kugundua kwamba yuko katika hifu kubwa ya kutoa yake ya moyoni.

Wawili hao walikutana kwa mara ya kwanza mwaka 2007 na hatimae kuwa pamoja mapema mwaka 2013.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging