Google PlusRSS FeedEmail

MMILIKI WA NYUMBNI PARK AVAMIWA KUJERUHIWA NA KUPORWA FEDHA

                   
Mkurugenzi mtendaji wa Nyumbani Park & Samaki Sport Farida mess Matlou alivamiwa na majambazi na kumjeruhi.Tukio hilo lilitokea usiku wa Trh 19 kuamki 20 maeneo ya nyumbani kwake Kihonda.

Kwa taarifa zilizofikia ni kwamba tayari watu wawili wamekatwa kuhusishwa na tukio hilo Mkurugenzi huyu alivamiwa usiku wa saa saba

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging