BREAKING NEWS Posted on by Unknown Klabu Olympia iliyopo Mori, Dar imeteketea kwa moto leo alfajiri chanzo chake kikidaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme. Jitihada za kuzima moto huo zinaendelea.Habari zaidi kuwajia baadae.