Google PlusRSS FeedEmail

ZARI & DIAMOND KUPATA MTOTO?

                      

Uhusiano wa Diamond Platnumz na Zarinah Tlale a.k.a Zari The Boss Lady sasa unaelekea kwenye level nyingine. Diamond ameweka wazi kuwa anatarajia kuwa baba.
                           
Kupitia Instagram Diamond alipost picha ya ‘ultra sound’ inayoonesha kiumbe kilichoko tumboni mwa mama na kuandika: “I can not wait to have you on my hand”. Hata hivyo aliifuta post hiyo baada ya dakika mbili

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging