Google PlusRSS FeedEmail

JE NIVA NI MARIOOO?

             Zuber Mohamed

MSANII anayefanya vinzuri katika tasnia ya filamu  Zubery Mohamed ‘Niva’ amekanusha kuwa yeye siyo Marioo yaani analelewa na wanawake bali ni jina tu ambalo limetokana na wimbo wake alioufanya na kurekodi.

“Napata shida sana watu wananiona eti mimi Marioo jina hili nimepewa na mpenzi wangu ambaye simtaji kwa jina lake mimi ni mwanaume ninayejua majukumu yangu wala simtegemei mwanamke yoyote zaidi ya wao kujipendekeza kwangu

Niva anasema kuwa wapo wasanii wanyonge wenye tabia hizo lakini si kwake kwani hawezi kuwa Mkongo maana jina hilo linatokana na baadhi ya wasanii wa Bongo fleva na wasanii filamu lakini yeye anafanya kazi kwa jasho na kuhudumia familia yake mwenyewe.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging