R.I.P Big Bro Ebby Sykes...Msiba Upo Kawe Karibia na Mediterano Hotel Na Mazishi in Shaa Allah tukijaaliwa yanaweza kuwa leo tar 16th Feb 2015 saa 7 Mchana Makaburi Ya Kisutu Kwa Mujibu Wa Ndugu Wa Marehemu Tujitahdi Kufika Kwa Wingi ili Ndugu Yetu Apate Dua Za Kutosha Na Kumpumzisha Kwa Amani....Inna Lillah Wa Inna Ilayhi Raajiun