Google PlusRSS FeedEmail

MWAKIFWAMBA ATAKIWA KUACHIA NGAZI

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (Taff), Simon Mwakifwamba amejikuta kwenye wakati mgumu kwenye mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika kwenye ofisi za shirikisho zilizopo Kinondoni, Dar akitakiwa kuachia ngazi.

Habari kutoka kwa sosi aliyekuwa ndani ya kikao hicho zilinyetisha kwamba, wanachama wa shirikisho hilo walisema wamechoshwa na rais huyo na kwa sababu muda wake umekwisha, alitakiwa kuachia ngazi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging