Google PlusRSS FeedEmail

ORODHA YA WASANII WA HIP HOP MATAJIRI DUNIANI 2015

Jarida maarufu duniani kwa rekodi mbalimbali Fobes, limetoa orodha mpya ya wanamuziki wa Hip Hop duniani wenye mkwanja mrefu zaidi.
Tunakumbuka mwaka jana nafasi ya kwanza ilikamatwa na mmiliki wa Beats Electronic Dr. Dre, mambo ni tofauti mwaka huu ambapo nafasi ya kwanza imekamatwa Sean Combs “Diddy” kwa utajiri wa dola za kimarekani million 735.
Itazame orodha kamili hapo na mpunga anaoumiliki kila mmoja.
1. Diddy – $735 Million
2. Dr. Dre – $700 Million
3. Jay Z – $550 Million
4. 50 Cent – $155 Million
5. Birdman – $150 Million.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging