Google PlusRSS FeedEmail

LULU ATAMANI KUIGEUKIA SIASA



Muigizaji “grade one” Bongo Elizabeth Lulu Michael, amesema licha ya kuwa yeye ni muigizaji mzuri lakini pia ana kipaji kikubwa cha kuongoza na kufanya siasa.

Akizungumza kupitia kipindi cha “the playlist” cha Times fm, Lulu amedai kuwa yeye ni muongeaji na anaushawishi mzuri ambao ungemuwezesha kuwa mwana siasa bora.

“Nahisi mbali na kazi ninayo ifanya, mimi pia ni muongeaji mzuri sana kitu kinachonifanya niamini kabisa kama ningeamua kuwa mwanasiasa basi ningefanikiwa sana katika upande huo” alisema Lulu

Star huyo aliongeza pia, pamoja na kugundua kipaji chake kingine hajafikiria bado kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa kwa wakati huu.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging