Google PlusRSS FeedEmail

RICK ROSS KUANDIKA HISTORIA NYINGINE KESHOBoss wa mtaa, rapa Rick Ross a/k/a Rozay kesho anaachia ngoma yake mpya itakayoitwa “Foreclosures.

Tangu mwezi wa 11 mwaka jana Rick Ross hakuachia video yoyote zaidi ya kuwa na scandle mbalimbali kitu kilichomfanya asipotee vinywani mwa vyombo vya habari.

Kwa kutumia akaunt yake ya instagram Rozay aliwataarifu wapenzi wake kwamba kesho ndiyo siku rasmi atakayoachia ngoma yake hiyo ambayo pia itakua ndiyo ngoma itakayobeba MixTape yake mpya.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging