Google PlusRSS FeedEmail

VANESSA MDEE APONGEZWA

                    

Msanii anayeshiriki katika msimu wa tatu wa Coke studio unaendelea mpaka hv sasa .Vanessa Mdee amepongezwa kwa kupata tuzo ya msanii bora wa kike wa Tuzo  za Africa Mashariki Afrimma
zilizofanyika Marekani hv karibuni

Pongezi hizo zimetolewa na kampuni ya Coca - cola ambayo inaendesha onyesho la kusisimua la muziki la coke studio ambalo linaendelea nchini kupitia runinga mbalimbali Africa Mashariki.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging