Google PlusRSS FeedEmail
Showing posts with label MICHAEL JACKSON. Show all posts
Showing posts with label MICHAEL JACKSON. Show all posts

50 Cent alonga kuhusu hukumu ya Michael Jackson...

[Read More]

Aliyekuwa Dactari wa Mawanamuziki nguli wa Music wa Pop Duniani,Michael Jackson doctor Murray 58 amekutwa na hatia ya kuua bila kukusudia.Doctor huyo atabakia korokoroni mpaka Nov 29 ambapo hukumu Rasmi  itakapotolewa., Inasadikiwa kuwa kuna uwezekano mkubwa kufungwa kifungo cha ndani au cha nje chenye masharti magumu na kisichopongua miaka minne.Kesi hiyo iliyosikilizwa kwa takribani wiki sita,kukiri kwa dactari huyo kumpatia dawa Michael ili apate usingizi,na yeye kuondoka katika eneo hilo baraza la wazee la mahakama hiyo ndilo lililopitisha hukumu hiyo..Baraza hili lilikuwa chini ya wazee 12 kati yao walikuwemo wamama 5.

Mara baada ya hukumu hiyo Doctor Murray alionekana asiyekuwa na wasiwasi bali Binti yake alionekana akiangua kilio,Ila kwa upande wa ndugu na wapenzi wa Michael Jackson walionekana wakishangilia mara baada ya hukumu hiyo.

DOCTOR CONRAD MURRAY AKUTWA NA HATIA YA KUUA BILA KUKUSUDIA

Aliyekuwa Dactari wa Mawanamuziki nguli wa Music wa Pop Duniani,Michael Jackson doctor Murray 58 amekutwa na hatia ya kuua bila kukusudia.Do... [Read More]

MICHAEL JACKSON - DANGEROUS

[Read More]

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging