Google PlusRSS FeedEmail
Showing posts with label VITUKO. Show all posts
Showing posts with label VITUKO. Show all posts

VITUKO vya mtaani, Njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Hussein Shaban(35) amefumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tegeta jijini Dar es Salaam.

Sakata hilo lilitokea kitongoji cha Nyeishozi, Tegeta kwa kumuhusisha Hussein ambaye ni mfanyabiashara na mke wa kigogo huyo ambaye jina lake tunalihifadhi.

Baada ya kukamatwa ugoni mwanaume huyo inadaiwa kuwa watu wenye hasira kali walimvua nguo na kumtembeza uchi.

VITUKO VYA MTAANI, MWANAUME AKAMATWA UGONI AVULIWA NGUO

VITUKO vya mtaani, Njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Hussein Shaban(35) amefumaniwa katika nyumba ya kiongozi mmoja wa Chama cha Ma... [Read More]

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging