Google PlusRSS FeedEmail

MAISHA YA UJANE BASI NATAKA NDOA NYINGINE MIE..


Muimbaji wa nyimbo za injili Gospel Upendo Nkone ,Anatarajiwa kufunga ndoa tarehe 17 October 2010 na Mchungaji John Mbeyela ambaye pia ni Mgane mwenye watoto watatu,ndoa hito itafungwa katika kanisa la Naioth kwa mchungaji Mwasota .

Kwa mujibu wa mtandao wa strictly Gospel ,Ndoa hiyo inakuja baada ya miaka 9 ya kuwa mjane,Upendo Nkone tayari anazo Albamu tatu  kibindoni nazo zikiwa ni Mungu Baba,Hapa Nilipo na Zipo Faida...

PRO - 24 We wish them all the best.

 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging