Google PlusRSS FeedEmail

BAD BOY RECORDS WAPELEKWA MAHAKAMANI

Mwanamuziki Sean Comb John P-Diddy amefunguliwa mashitaka yeye na lebo yake baada ya kumfukuza mfanyakazi wake ambaye alifanyiwa upasuaji hivi ikaribuni..


Mwana mama huyo Fracesca Spero,anadai alifukuzwa kazi katika lebo ya Bad Boy Records mapema mwaka huu,sababu kubwa aliyoambiwa kuwa yeye kwanza ni mzee na pia upasuaji aliofanyiwa hataweza kufanya kazi kwa kasi inayohitajika na record company..


Chanzo cha habari hakijaweka bayana kuwa mama huyo ni upasuaji gani alifanyiwa..ila kilieleza ya kuwa upasuaji huo utamlazimu mama huyo kupunguza kazi na kuongeza mda wake wa kupumzika..


Baaada ya kuondolewa kazini mwanamama huyo,alichukua hatua za kuipeleka kampuni hiyo na mmiliki wake na ambaye ni P-Didddy na kudai kulipwa fidia ya ya dolla za kimarekani million 12 $..
Mwanamama Fracesca Spero wa 3 kutoka kushoto 


Hivi sasa mwanamuziki huyo amebadilisha  jina na anapenda aitwe  Diddy,ni majina mengi yalishatangulia kama Puff Dady akabadili Akaja na P-Diddy ,na sasa Diddy..je lipi litafata..? 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging