Artist ambaye alitangaza wazi kuwa asingempigia kura wala kumpa support baba yake mzazi,Mzee Bidandi Ssali ambaye alikua mmoja wa wagombea Urais kwenye uchaguzi 2011 uliopita,Moses Ssali Almaharufu Bebe Cool mbele ya washabiki wake waliokua wamejazana katika kitongoji kijulikanacho kama Kololo kwenye kampeni za mwisho za Urais uliofanyika 18 Feb 2011 waliachwa hoi baada ya Bebe Cool kumvuta na kumla-denda mke wake Zuena Kirema kwenye steji ,alisikika akisema Zuwena ''she was the most beautiful woman on the planet''
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








