Google PlusRSS FeedEmail

50 CENT NDANI YA MOVIE MPYA....FREELANCERS

Rapper Curtis James Jackson III aka 50 Cent ameripotiwa kuwa atakuwa kwenye up-coming film iitwayo Freelancers.
50 Cent humo ndani ame-act kama mtoto wa afisa mmoja wa NYPD na atakua chini ya Director aitwaye Jessy Terrero.
Kwa sasa 50 cent amesha- act movies kadhaa kama Twelve, Righteous kill (akiwa na Robert Neniro na Al Pacino) na nyingine kibao bila kusahau movie iliyozua gumzo sana iitwayo,Things fall apart,ambayo ili kukaa humo ndani ilibidi 50 Cent apunguze uzito kufikia pounds 50 ili aweze kuendana na scrtipt na filamu hiyo kwa sasa iko kwenye pre-production aka maandalizi ya mwisho.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging