Google PlusRSS FeedEmail

CASH MONEY CMB PREZZO HATIMAYE MIFUKO YAKE YATOBOKA

Mwana Hip-Hop  toka Kenya,Jackson Makini Ngechu mwite Cash Money Brothers aka CMB Prezzo kwa sasa inasemekana amechoka kiuchumi.
Kwa sasa CMB Prezzo, mambo yake sio safi na inasemekana kuwa hana hata sehemu ya kulala coz amehamia kwa mshikaji wake pande za Hurlingham kwa ajili ya kujihifadhi baada ya kukorofishana na mjomba wake ambaye ndio alimpatia nyumba ya kuishi na hana sehemu nyingine ya kwenda zaidi ya kurudi nyumbani kwa mother wake.
Prezzo na familia yake waliachiwa urithi toka kwa baba yao na inadaiwa kuwa Prezzo amezitumia vibaya mali zilizoachwa na baba yake Marehemu Mzee Makini Ngechu.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging