Google PlusRSS FeedEmail

MAURICE KIRYA AIWEKA UGANDA JUU KIMUZIKI ANYAKUWA TUNZO 2 HUKO HOLLYWOOD

Maurice Kirya ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo 2 wakati wa grand finale ya Eworld Music Awards 2011 zilizofanyika jijini Hollywood-Los Angeles,Marekani.
Maurice Kirya alipata tuzo hizo kupitia categories za Best world music na Best Indie/Progressive na aliawania tuzo hizo na artist wengine 4 wa kimataifa,akina Te Vaka,Jane Hunt,Jonny Lipford na Twenty 7.Mbali na tuzo hizo 2 pia Maurice Kirya aliwania tuzo nyingine ya the Best male artist akiwania na Willie Ames,Jim Perkins,Patrick Sean,Ehm na Jesse Dold.na tuzo ilienda kwa american actor,film na television director,television producer na screenwriter Willie Ames akashinda tuzo hiyo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging