Google PlusRSS FeedEmail

HATIMAYE STARA THOMAS AFUATA NYAYO ZA RENEE LAMIRA NA YEYE AMUA KUOKOKA

Mwanamama na Muimbaji  wa nyimbo za zouk na R&B toka Tanzania,Stara Thomas kwa sasa amempa Bwana Yesu maisha yake 
Mwanamama huyo alishawahi kutamba nyimbo kama  Niko kwa ajili yako,Nakupenda , Na Nyingine nyingi Pia alishawahi kufanya kazi za pamoja na wasanii wenziwe kama Mh Mbunge wa Mbeya Mjini Mr 2 aka  Sugu katika wimbo ulijulikana kama  Sugu,Riziki ya K Basil, Nipigie na AT hata Chidi Benz..Kwa mujibu wa wa chanzo cha habari hizi mwanamama Huyo alisikika akisema
“Nilipata wito kutoka kwa Yesu kwa kuwa aliwaita watu wote wasumbukao na kulemewa na mizigo waende kwake atawapumzisha”  Stara ambaye kwa sasa anaabudu kanisa la Shalom lililoko Mbezi-Salasala....Na atakua amefuata nyayo za Wasanii  wengine Renee Lamira,K-Basil na wengine wengi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging