Mwanamuziki ,Ambwene Yesaya aka AY mwisho wa wiki aliyopita alisafiri mpaka Nchini Kenya na moja kwa moja alifika katika jijini Nairobi kwa ajili ya kukutana na msanii toka Nigeria,Martins Okey Justice aka J. Martins ambaye alikua jijini humo na P-Square kwa ajili ya kupiga show.
Kikubwa Kilichompeleka AY ni kutaka yeye na wasanii hao waweze kukamisha project yao ya pamoja.
Kwa mijibu wa AY alisikika akisema “Nilikua nifanye kazi J. Martins ila kila mmoja ana mishe zake ila kwa kuwa ana kazi Nchini Kenya Aliwasiliana nami na tukakubaliana tukutane kupanga ni lini na mara baada mimi na yeye kukubaliana nitaelekea nchini India ambako huko nitakuwa na show kadhaa”