Artist toka Wateule Jafary Mshamu aka Jafaray amedondosha Track yake mpya ya Sio Kweli feat Binti Machozi aka Lady JD,rasmi kwenye radio mkwaju ambao kideo chake kiko kitaa kitambo. Humo ndani Lamar amehusika mazima na utengenezaji wa Beat katika studio za ,FishCrab na video ya wimbo huo umefanya Adam Juma toka Visual Lab na ngoma imesimama ile mbaya, Mwezi May 2010 anaifungua single nyingine ambayo pia itapatikana kwenye album yake ya 3 ya Wali Nazi!
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








