Google PlusRSS FeedEmail

KELVIN CHUWANG NA ELIZABETH GUPTA WAFUNGA NDOA RASMI

Aliyekuwa mshindi wa dola laki  200,000 za  shindano la Big Brother Africa 4-The revolution iliyofanyika mwaka 2009,Kelvin Chuwang Pam aka Shemeji toka Nigeria amefunga ndoa na housemate mwenzake wa Big Brother Africa 2009 toka Tanzania ,Elizabeth Gupta kwenye sherehe ya harusi iliyofanyika jijini Lagos-Nigeria.
Kelvin na Elizabeth wameweka historia ya kuwa housemates wa kwanza walioshiriki Big Brother Africa kufunga ndoa, na hii itakuwa mfano tosha kwa wengine ambao waliwatangulia na wengine waliowafatia na kuwa katika mahusiano ya kimapenzi mwisho wa siku kila mmoja akiwa anaendelea na Hamsini zake,Je mwisho ambaye mpaka sasa yuko katika uchumba na Mery je watafata nyao za hawaaa..?

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging