Google PlusRSS FeedEmail

BEEF JINGINE KATI YA WASANII WA UGANDA

Hip Hop singers toka Uganda,Navio na Prince Eddie Atlas Igumira almaharufu  Atlas na inasemekana kuwa huenda ndio ikawa beef kubwa kuliko zote kuwahi kutokea kwenye music industry ya Uganda
Atlas ni mtoto wa kigogo toka Jeshi la Uganda,Uganda People's Defence Forces (UPDF),na inasemekana kuwa yeye ndiye aliyempa Dr Jose Chameleone bunduki ya AK47 ambayo ilitumika katika video ya wimbo wake Vumilia mwaka 2009....Nae Navio na ni mtoto wa Maggie Kigozi,  Rais wa Uganda Investment Authority (UIA).
Hivi karibuni Atlas aliachia  track yake ya Hip Hop iitwayo Ngalo, inayoaminika kuwa dongo kwenda kwa  Navio,na hivi karibuni wakati Navio alizindua track yake mpya iitwayo Keep Moving katika  Club Rouge, aliposhuka kwenye stage alimfata Atlas alipo na kumuuliza,Inakuaje Nimekukosea nini?....Atlas alijibu kwa singi na kejeli ,mda mfupi vurugu kiasi zilianza na hatimae  bouncers wakaingilia kati na kuamua ugomvi,lakini Atlas ndiye aliyekua amepigwa!Baada ya ugomvi huo Atlas alisema "You will get shot I promise you" akimaanisha kupiga risasi na kusemekana kuwa Atlas ana uwezo wa kupata silaha muda wowote,na inasemekana kwa sasa Navio yuko studio anatengeneza track ya kumjibu Atlas!

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging