Actress maarufu wa filamu duniani,Elizabeth Rosemond Taylor aka Liz Taylor amefariki dunia Jumatano ya tarehe 23 March,2011 akiwa na miaka 79,baada ya kulazwa kwa muda wa wiki 6 kwenye hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center jijini Los Angeles-Marekani
Liz Taylor alizaliwa huko jijini London tarehe 27 February 1932,alianza kuugua ugonjwa wa moyo tangu mwaka 2004 na enzi za uhai wake aliwahi kucheza filamu zaidi ya 50 na kuwahi kuolewa zaidi ya mara 8 na waume tofauti,na mpaka anafariki ameacha watoto 4,wajukuu 10 na vitukuu 4
Liz Taylor alianza kucheza filamu akiwa na miaka 8 na Movie ya kwanza aliyoanza kucheza iliitwa There's One Born Every Minute ilikua mwaka 1942,chini ya Universal Pictures